HEADLINES

6/recent/ticker-posts

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UINGEREZA


Na Mwandishi Wetu,

ZANZIBAR,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imefungua  milango ya Uwekezaji.

 Aliyasema hayo alipokutana na Wawekezaji kutoka Uingereza ambao waliongozwa na Bi. Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Association  pamoja na Amanda Van Dyke wa Kampuni ya ARCH, leo  tarehe 23 Machi 2023 Ikulu Zanzibar. 


Vilevile ,Rais Dk.Mwinyi amewataka Wawekezaji hao kuwekeza katika fursa zitokanazo na Uchumi wa Buluu na zaidi kwenye suala la uvuvi na vifaa vya kuhifadhia samaki .

Post a Comment

0 Comments