HEADLINES

6/recent/ticker-posts

WIZARA YA ELIMU KUWASILISHA BAJETI YAKE KESHO MEI 07, 2024


 Na Mwandishi Wetu,

DODOMA.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Alhamisi, Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Post a Comment

0 Comments