HEADLINES

6/recent/ticker-posts

HIZI HAPA TETESI ZA SOKA NCHINI TANZANIA CHAMA, LAWI, AZIZI KI, MGUNDA


 Na Mwandishi Wetu,

1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki  inaelezwa ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo.

2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi

3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia

4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3.

5. Beki wa kati wa Asec, Anthony Tra Bi Tra anahusishwa kujiunga na Simba Sc.

6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars Yusuph Kagoma anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago

7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo

8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim

9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou

10. Beki wa kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC

11. Henock Inonga amejiunga Far Rabat

12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo

13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha

14. Derick Fordojou anawindwa na mnyama

15. Rodgers Torach, anafuatiliwa na Simba  SC

16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC

17. Daniel Msengani anawaniwa na Simba SC

18. Victorien Adebayor anatakiwa na Singida Black Stars SC

19. Beno Kakolanya, anawindwa na Young Africans kuziba nafasi ya Metacha Mnata

20. Striker wa mpira Jean Baleke, anatakiwa na Young Africans

21. Luis Jose Miquissone anatakiwa na APR ya Rwanda na timu kutoka Angola

22. Kiungo wa mpira kutoka Coastal union, Greyson Gelard anatakiwa na Young Africans

23. Young Africans wanawania Saini ya Duvan Elenga

24. Simba SC wanamuwinda Flory Yangao

25 Waziri wa raha , Skudu Makudubela bye bye Yanga

26. Simba Sc inamuwania Chance Leroy

27. Ayoub Lakred anahitajiwa na Wydad AC

28. Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda

29. Omar Nahji kuchukua mikoba ya Benchika Simba SC?

30. Vilabu Vya Al Qadsia ya Kuwait na Pyramids FC ya Egypt vimeonesha nia ya kuhitaji huduma ya Fabrice Ngoma wa Simba Sc

31. Golikipa Yona Amos anakaribia kujiunga na Young Africans

32. Joshua Mutale anatakiwa kujiunga Simba SC

33. Kelvin Kapumbu anatakiwa Simba SC

34. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na Simba Sc

35.Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc.

36. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc kama mambo hayatabadilika

37. Mabululu anatakiwa Simba SC na timu kutoka Uarabuni

38. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC

39. Chadrack Boka ni mwananchi

40. Basiala Agee anahitajiwa na Yanga

41. Aziz Andambwile anahitajika Simba SC kuchukua nafasi ya Abdallah Hamis

42. Keneth Semakula anawaniwa na Simba Sc na Azam FC

43. Jhonier Blanco mrithi wa Dube Azam fc

44. Elia Mpanzu anakaribia kujiunga Simba SC

45. Simba SC inajaribu kuparamia Dili la Yussufu Kagoma kwenda Young Africans

46. Skauti wa Simba na FC TWENTE ya uholanzi, Mels Daadler ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Simba

47. Kocha wa magolikipa wa Simba Sc, Daniel Cadena anakaribia kuondoka Simba Sc

48. Simba SC inamfukuzia kwa karibu kocha mkuu wa Petro Athletico ya Angola Alexander Santos

49. Thank you Pa Omar Jobe

50. Steven Mukwara anatakiwa Simba Sc

51. Juma Mgunda ana asilimia kubwa kuwa kocha mkuu mpya wa Simba SC

52. Thank you Augustine Okra

53. Kenedy Juma anakaribia kujiunga na Coastal Union

54. Miguel Gamond atasalia Young Africans kwa mwaka mmoja

55. WIinga Serge Pokou kutoka Asec Mimosas anakaribia kujiunga na Simba Sc

56. Kocha Steve Komphela anaweza Kuja Simba

57. Barbara Gonzalez anakaribia kuchukua nafasi ya TRY AGAIN

58. Imman Kajula hatoendelea kuwa CEO wa Simba

59. Manu Bora anatakiwa Young Africans

60. Valentin Nouma anatakiwa na Simba SC

61. Joshua Mutale anatakiwa na Simba SC

62. Mohamed Damaro Camara anatakiwa Simba SC

63. Kuna uwezekano mkubwa wa Juma Mgunda kurudi Coastal Union Kwa mkopo

64. Banza Kalumba anatakiwa na Coastal Union

65. Beki wa Kushoto wa KMC, Rahim Shomari anatakiwa na Simba SC

66. Augustine Okejepha anakaribia kujiunga Simba SC

67. Soul Davilla anahisishwa na Simba SC

68. Uwezekano wa Jean Baleke kurejea Simba SC ni mkubwa sana

69. Kelvin Kapumbu anaweza kujiunga na Simba SC

70. Djuma Shaban amejiunga na Coastal Union

71. George Mpole anawindwa na Yanga

72. Kipa wa Simba , Ayoub Lakred ataendelea kusalia na Klabu hiyo hadi 2025

73. David Luhende na Abdallah Seseme wamesaini Dodoma Jiji Fc

74. Kipa Msudani, Mohammed Mustapha amesaini kandarasi ya kudumu Azam FC

75. William Togul Mel, straika Muivory Coast anawaniwa na Simba SC

76. Arthur Bada anawindwa na Simba SC

76. Young Africans itamsajili Aboubakar Komen ikimkosa Yona Amos

77. Aubin Kramo ataendelea kuitumikia Simba SC

78. Tandi Mwape anatakiwa na Simba SC

79. Charles Ahoua anatakiwa na Simba SC

80. Kiungo wa Mashujaa FC, Omary Omary anatakiwa na Simba SC

81. Yacoub Sogne anawaniwa na Young Africans na Singida Black Star

82. Prince Dube huenda akasajiliwa na Wananchi Yanga Sc

83. Edward Charles Manyama anaweza kusaini Singida Black Stars muda wowote

84. Kipre Junior anaweza kutimkia MC Algers ya Algeria

85. Karim Kimvuid anatakiwa na Young Africans

86. Clatous Chota Chama, anaweza kuondoka Simba SC kama mambo hayatabadilika na anahusishwa na Yanga Sc.

87. Ayoub Lyanga anaweza kujiunga Singida BS

88. Chota Chama anafikiria  hatma yake kubaki ama kusaka malisho mahali pengine.

89. Beki Khadim Diaw anatakiwa na Simba SC

90. Hassan Ssenyonjo kutoka Wakiso ya Uganda anakaribia kutua Yanga

91. Jean Ahoua anatakiwa Simba SC

92. Adolph Mutasingwa anatakiwa Young Africans

93. Idumba Fasika anatakiwa Simba SC

94. Debora Fernandez ametua Simba SC


Post a Comment

0 Comments